• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akabidhi Mkono wa Kheri ya Eid Ul-Fitr kwa Watoto Wenye Uhitaji - DSM

Posted on: March 29th, 2025

 

-Asema Rais Samia ametoa  mkono wa kheri ya Eid Ul-Fitr kwa watoto wenye uhitaji kutoka katika makao mbalimbali ndani  ya Mkoa huo.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amekabidhi Sadaka ya vyakula iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye vituo mbalimbali vya makao ya watoto wenye uhitaji kwa ajili ya kuwawezesha kufurahia sikukuu za Eid

Akizungumza jijini Dar es salaam leo Machi 29, 2025 wakati akikabidhi sadaka hiyo iliyotolewa na Mhe Rais Samia RC Chalamila amesema ni desturi ya Rais Dkt Samia kutoa mkono wa kheri ya sikukuu kwa makundi mbalimbali ya wenye uhitaji ambapo leo amekabidhi Sadaka ya vyakula na Mbuzi kwa ajili ya kitoweo kwa watoto wanaoishi kwenye makao mbalimbali ndani ya Mkoa wetu.

Aidha RC Chalamila ametoa muda wa wiki moja kwa Afisa ya ustawi wa jamii mkoani humo kuhakikisha watoto wote waliopo mitaani wakiombaomba pamoja na watu wenye ulemavu ambao wamekua wakitumiwa kuombaomba mitaani kuhakikisha wote wanapelekwa kwenye vituo vya kuhudumia watu hao kwani Serikali imeshajenga vituo vya kutosha kusadia makundi hayo vilevile ameagiza wafundishwe stadi mbalimbali za ufundi ili wajikwamue kimaisha

Kwa upande wa Afisa ustawi wa jamii Mkoa wa Dar es salaam Bwana Nyamara Elisha amezungumzia namna ambavyo Rais Dkt Samia katika kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ameshiriki kuwezesha upatikanaji wa futari kwa makundi mbalimbali ya wenye uhitaji pamoja na Sadaka huyo ya leo kwa ajili ya sikukuu ya Eid ambao imeelekezwa kwenye makao mbalimbali ya watoto wenye uhitaji

Nao baadhi ya viongozi wa makao ya watoto walionufaika na Sadaka hiyo ya Rais Dkt Samia iliyokabidhiwa na mkuu wa Mkoa Mhe Albert Chalamila wameishukuru Serikali kwa kutambua na kuthamini uwepo wao na kuweza kuwasaidia ambapo wametoa wito kwa wadau wengine wenye uwezo kuiga mfano huo kusaidia makundi hayo ikiwemo kusadia vifaa vya kujifunzia masomo wakiwa shuleni

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa