• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Afungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa DCPC

Posted on: October 27th, 2023

 

Akifungua Mkutano huo wa mwaka wa Club ya Waandishi wa Habari Jiji la Dar es Salaam (DCPC) katika Ukumbi wa Mikutano Arnatoglo Mnazimmoja Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amewataka wadau katika sekta ya Habari kwenda na kasi ya Teknolojia ambayo imekuwa ikibadilika kila kukicha.

RC Chalamila amewataka wanahabari kuzingatia taaluma, Sheria, kanuni na maadili ya uandishi wa Habari kwa kuhakikisha Habari wanazozitoa zinakidhi vigezo vya kihabari zihaririwe kabla ya kurushwa " Habari nyingi siku hizi zinatolewa pasipo kuchakatwa au kuhaririwa ambapo hupelekea upotoshwaji ni vizuri kusimamia misingi ya taaluma" Alisema RC Chalamila

Aidha Mhe Mkuu wa Mkoa alisema Rais Dkt Samia anajali na kuthamini sekta ya Habari toka aingie madarakani amefanya maboresho makubwa ya kisera na pia mapitio ya sheria hivyo rai yake kwa wanahabari kumuunga mkono Mhe Rais na kuwa wazalendo wakati wote wa kutekeleza majukumu yao ya kihabari.

Vilevile Club hiyo ya Waandishi wa Habari imemkabidhi Mkuu wa Mkoa zawadi ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kumshukuru na kutambua juhudi na dhamira yake njema katika kuboresha sekta ya Habari hapa nchini.

Sambamba na hilo DCPC imemuomba Mkuu wa Mkoa kuwa mlezi wa club hiyo ambapo amekubali pia wamemuomba Ardhi kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi pamoja samani za Ofisi ili kuweze kutekeleza majukumu yao kwa ufasaha

Mwisho DCPC inazidi ya wanachama hai 150 na Mkutano Mkuu wa mwaka unalenga kutathimini Utendaji wa kazi, hali ya Uchumi na Mazingira ya kazi za kihabari za kila siku kwa mwaka mzima

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa