• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Aendelea na Ziara Usiku wa Manane- Kinondoni

Posted on: October 23rd, 2024

 

-Akagua mradi wa barabara ya BRT Bagamoyo na kutoa maagizo kwa wakandarasi.

-Atembelea Shule ya Sekondari ya bweni Mabwe Tumaini na kukagua mwenendo wa   utendaji  kazi katika kituo cha polisi Mabwepande

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert John Chalamila, ameendelea na ziara yake ya usiku kwa usiku leo, Oktoba 23, 2024, ikiwa ni siku ya pili ya ziara ya ukaguzi  wa miundombinu na utoaji wa huduma nyakati za usiku katika Wilaya ya Kinondoni.

Ziara hiyo ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo unakwenda sambamba na malengo ya Serikali ya awamu ya sita, chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

RC Chalamila akiwa wilayani humo amekagua mradi wa ujenzi wa barabara ya Bagamoyo ya mwendo kasi inayounganisha maeneo ya Tegeta, Mwenge, Ubungo, na Mbezi. unaotarajiwa kukamilika ndani ya miezi nane na hadi sasa ujenzi huo umefikia kwa asilimia 61% ya ukamilifu na itakuwa msaada mkubwa kwa wakazi wa Bunju na maeneo jirani kwa kuboresha huduma za usafiri.

Pia Mkuu wa Mkoa ametembelea Shule ya Sekodari Mabwe Tumaini na kuzungumza na wanafunzi, akiwahimiza kusoma kwa bidii kwani Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameboresha mazingira ya kujifunzia. Aidha, amewataka kuepuka vitendo viovu shuleni. RC Chalamila pia ameahidi kuwazawadia wanafunzi mchele, ng'ombe, na soda vilevile shilingi laki 3 kwa washindi wa kwanza wa mashindano ya mpira wa kikapu.

Akiwa ziarani humu RC Chalamila amepita kukagua mwenendo wa urendaji kazi katika kituo cha polisi cha mabwe pande. ametoa maagizo ya kutomchekea mtu yeyote anayedhamilia kuharibu amani ya nchi yetu na kushughurika na wavunjifu wa amani kama wezi,vibaka, sambamba na sheria za nchi,pia kushughulikia biashara haramu zinazoingia nchini kwa magendo kama madawa ya kulevya.

Mwisho wa ziara hiyo ya usiku wa kuamkia tarehe 24 Oktoba ametembelea pia hospitali  ya Wilaya ya Mabwepande iliyojengwa zaidi ya milioni 400 ghorofa tofauti tofauti zilizomo kituoni humo“sekta ya Afya ni sekta muhimu na haiitaji siasa” asema Chalamilahivyo, watoa huduma za afya wanapaswa kufanya kazi kwa bidii na weledi ili kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma bora


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa