• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Aagiza Kufanyika Uchunguzi Haraka Kubaini Chanzo cha Moto Mwenge

Posted on: December 5th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Decemba  05, 2023 amefika na kukagua athari zilizotokana na janga la moto katika eneo la Mwenge Wilaya ya Kinondoni usiku wa kuamkia leo ambapo fremu za wafanyabishara zaidi ya 30 zimeungua na moto huo.

RC Chalamila akiongea na wahanga wa moto huo ametoa pole kwa wote waliofikwa na janga hilo, ameagiza ufanyike uchunguzi wa haraka kubaini chanzo cha moto huo "kwa sasa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi Kinondoni waangalie namna ya kuwasaidia wafanyabishara hao kwa kuwakopesha pesa ambayo watairudisha kwa riba kidogo ili waweze kuendelea na biashara kama awali" Alisema RC Chalamila

Aidha RC Chalamila amesema anatambua majanga hayo uweza kujitokeza kwa bahati mbaya, uzembe, au mipango ya watu wenye nia ovu hivyo uchunguzi ukikamilika hatua za kisheria zichukue mkondo wake

Vilevile Mhe Chalamila amewataka wananchi kutambua umuhimu wa matumizi ya Benki ili kuweka fedha zao na siko kuwa nazo dukani au nyumbani kutokana na janga hilo yako mabaki ya fedha zilizoungua hiyo ni ishara ya watu kukosa ufahamu wa Benki pia ametoa rai kwa wafanyabishara kuwa na bima ambayo itakuwa mkombozi nyakati za majanga.

Sambamba na hilo RC Chalamila ameagiza kufanyika maboresho ya fremu za maduka katika eneo hilo kwa kuwa Mwenge kwa sasa ni eneo muhimu kibiashara.

Kwa Upande wa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Saad Mtambule amesema eneo hilo ni mali ya Bagdad lilikuwa na fremu 32, mali mbalimbali zimeungua, tayari timu ya uchunguzi imeundwa ikikamilisha kazi yake taarifa ya uchunguzi  itawasilishwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, aidha ametoa shukrani kwa jeshi la polisi na wananchi waliojitokeza kuzima moto huo

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa