• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalalamila Asaini Makubaliano ya Awali ya Mashirikiano Kati ya DSM na Jimbo la Shaanxi-China

Posted on: November 27th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Novemba 27, 2023 amesaini makubaliano ya awali ya mashirikiano kati ya Mkoa wa Dar es Salaam na Jimbo la Shaanxi-China katika Ukumbi wa Hotel ya Johari Rotana Ilala Jijini Dar es Salaam.

RC Chalamila akiongea na Waandishi wa Habari amesema amepokea ujumbe wa zaidi ya watu 30 kutoka jimbo la Shaanxi-China ambao lengo lao hasa ni kufanya makubaliono ya mashirikiano katika nyanja mbalimbali katika Mkoa huu, ambapo kilichofanyika leo ni kusaini (Intention to Cooperation) ambayo kwa kiswahili ni hatua za awali za kuonyesha makubaliano ya kuanza mashirikiano kati ya Mkoa wa Dar es Salaam na Jimbo la Shaanxi nchini China.

Baadaye hatua itakayofuata ni kusaini "MOU-Memorandum of Understanding" ni nyaraka ya kisheria ambayo lazima ipitishwe kwa Mwanasheria wa Serikali kwa ajili ya "Verting" atakaporidhia ndipo tutarudi tena kusaini nyaraka hiyo.

Aidha RC Chalamila amefafanua sababu za kufanya makubaliano hayo ni kwa kuwa Mkoa huo unakua kwa kasi na imekisiwa ifikapo 2030 Dar es Salaam itakuwa moja kati ya "Metropolitan Cities" za Afrika ambapo kwa sasa ziko sita ya saba itakuwa DSM " Mkoa wetu ni lango la kibiashara, Jiji la kidiplomasia, Jijini la kiuchumi ndio maana tumeona umuhimu wa kufanya mashirikiano na Jimbo la Shaanxi-China ambako ndiko makao makuu ya Serikali ya Nchi ya China yaliko" Alisema RC Chalamila

Ifahamike kuwa kutokana na makubaliano hayo yatakwenda kufungua fursa katika Mkoa wetu ikiwemo wimbi kubwa la wafanyabishara na wawekezaji kutoka china,  fursa ya kutanua masoko ya bidhaa za kitanzania pia hii inaashiria kutii maelekezo ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu ya kufungua fursa za uwekezaji katika Mkoa kwa masilahi mapana ya Wananchi wa Mkoa huu na Taifa la Tanzania kwa ujumla

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa