• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RAS Rugwa Apokea Mwenge wa Uhuru Kutoka Mkoa wa Pwani

Posted on: May 10th, 2022

 

- Ataja ratiba ya Mwenge kukimbizwa Dar es Salaam

-Asisitiza Umuhimu wa Mwenge huu, Kauli Mbiu na Ujumbe wake

- Ataja thamani ya Miradi itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru

-Akabidhi  Mwenge huo kwa Mkuu wa Wilaya Kinondoni ambapo DC huyo akiri kuupokea na kuukimbiza katika Wilaya yake

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndg. Hassan Rugwa amepokea Mwenge wa Uhuru Leo tarehe 10 Aprili 2022 katika Uwanja wa Shule ya Msingi Bunju "A" ukitokea Mkoa wa Pwani

Baada ya kuupokea Mwenge huo wa Uhuru Ndg. Hassan Rugwa ametaja ratiba ya ukimbizwaji wa  Mwenge katika Mkoa wa Dar es Salaam kuwa tarehe 10/05/2022 Utakimbizwa Kinondoni, tarehe 11/05/2022 Utakimbizwa Ubungo, tarehe 12/05/2022 Ilala, tarehe 13/05/2022 Kigamboni na kumalizika Temeke tarehe 14/05/2022 ambapo tarehe 15/05/2022 utakabidhiwa Mkoa wa Kusini Pemba

Aidha Katibu Tawala amesisitiza Umuhimu wa Mwenge  wa Uhuru wa 2022 unaosisitiza Sensa ya Watu na Makazi chini ya Kauli Mbiu " Sensa ni Msingi wa Mipango ya Maendeleo; Shiriki Kuhesabiwa tuyafikie Maendeleo ya Taifa" na Ujumbe wa Kudumu wa Mbio za Mwenge kuhusu Mapambano dhidi ya VVU/ UKIMWI, Malaria, Dawa za Kulevya, Lishe na Rushwa

Ndg. Hassan Rugwa amesema jumla ya Miradi 28 yenye thamani ya *Shilingi Bilioni 16. 4 itapitiwa na Mwenge wa Uhuru ambapo Miradi hiyo ipo iliyokamilika na iliyopo katika hatua mbalimbali za utekelezaji

Hata hivyo Katibu Tawala ameukabidhi Mwenge huo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Godwin Gondwe ambaye amekiri kuupokea na kuukimbiza katika Wilaya yake ya Kinondoni

     MWENGE OYEEEEEE

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla, NMB Wakabidhi Ticket kwa Viongozi wa Machinga na Bodaboda

    February 03, 2023
  • RC Makalla Apongeza Mahakama Utatuzi wa Migogoro kwa Usuluhishi

    February 01, 2023
  • RC Makalla Atoa Vipaumbele kwa Wakuu Wapya wa Wilaya za DSM

    January 31, 2023
  • RC Makalla Apiga Marufuku Biashara kwenye Barabara ya Mwendokasi Mbagala

    January 28, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa