• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Rais Dkt Samia Atoa Mkono wa Pole kwa Familia iliyopoteza Watoto Wanne kwa Ajali

Posted on: August 9th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Agosti 09,2023 amewasilisha salamu za Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na mkono wa pole kwa familia ya Mzee Hashim Msuya iliyofikwa na msiba wa kupoteza watoto wanne (4) kufuatia ajali iliyotokea eneo la Mbwewe Pwani Agosti 3, 2023.

RC Chalamila amefika nyumbani kwa familia Mbezi Beach Kinondoni Dar es Salaam na kukabidhi kwa familia Rambirambi iliyotolewa na Mhe Rais Dkt Samia ikiwemo fedha taslimu *shilingi millioni 10, sukari, mchele, ngano, mafuta ya kupikia, chumvi, maziwa na vinywaji mbalimbali kama maji, soda na yogati, vilevile vitambaa na vitenge kwa ajili ya kuwafariji wafiwa hao.

Aidha Mhe Chalamila amesema msisitizo wa Mhe Rais ni kuwa Wazazi hao ambao ni wazee waliofikwa na msiba huo mkubwa kupatiwa matibabu bila malipo katika Hospital ya Taifa Muhimbili, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete na hata Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma wakati wote watakapo hitaji huduma za afya.

Sambamba na hilo RC Chalamila amesema Mhe Rais Dkt Samia ameiomba familia hiyo kuendelea kuwasimamia watoto waliopoteza wazazi wao ili wafikie ndoto zao.

Kwa Upande wa Mzee Hashim Msuya akitoa neno la shukrani kwa Mhe Rais amemshukuru sana kwa upendo wake wa kuwafariji katika Kipindi hiki kigumu kwao zaidi na zaidi anamuombea kwa mwenyezi Mungu Rais Dkt Samia Suluhu* maisha marefu na aendelee kuliongoza Taifa hili " Mimi Msuya ni nani hadi Mkuu wa nchi aje kunifariji, mwenyezi Mungu ambariki sana Rais Dkt Samia" Alisema Mzee Msuya

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa