• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Rais Dkt. John Pombe MagufuIi Ashusha Neema Dar

Posted on: May 10th, 2018

Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam wameendelea kula Matunda ya Serikali ya awamu ya tano baada ya Rais Dr. John Magufuli kutoa zaidi Shilingi Billioni 250 kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi Mkakati ya kuziwezesha Halmashauri za Jiji hilo kujiendesha zenyewe ili kupunguza utegemezi wa fedha kutoka Serikali kuu.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amesema miongoni mwa miradi itakayotekelezwa ni pamoja na ujenzi wa kituo cha kisasa cha Mabasi ya Mikoani Mbezi Luis kitakachogharimu zaidi ya shilingi Billion 50 ambacho ujenzi wake utaanza Mwezi June na kuchukuwa miezi 18 kukamilika.

RC Makonda amesema jengo hilo litakuwa na gorofa tano ambapo kituo hicho cha kisasa kitakuwa na uwezo wa kuchukuwa Mabasi 200 na Maegesho magari 300 (Underground parking) ambapo ndani ya kituo kutakuwa na huduma zote muhimu ikiwemo Hotel, Hostel, Shopping Mall,Maduka, Migahawa, sehemu za mapumziko, Kituo cha Polisi, Bustani, Bank, Vyoo vya kisasa pamoja na Ofisi za kampuni za Magari.

Aidha RC Makonda amesema miradi mingine ni Ujenzi wa Soko la kisasa Kisutu litakalogharimu shilingi Billion 16, Kituo cha Mabasi Chamanzi Mkondogwa, Ujenzi wa Machinjio ya kisasa Vingunguti yenye thamani ya Billion 8.5 itakayokuwa na uwezo wa kuchinja Ng'ombe 1,000 kwa siku hali itakayoondoa uagizwaji wa Nyama Nje ya nchi kwa ajili ya kuuzwa kwenye Hotel na Supermarket ambapo kukamikika kwa mradi huo utawezesha wazawa kupata soko la nyama la uhakika, Ujenzi wa Soko la Mburahati Billion Billion 2.7 kituo cha Daladala Tuangoma, Soko la Kibada Billion 14 pamoja na miradi mingine mingi ikiwemo Fukwe za Coco, Ujenzi wa Shopping Mall na miradi mingine lukuki inayofanywa na Rais Magufuli kwenye Mkoa wa Dar es salaam.


RC Makonda amemshukuru Rais Magufuli kwa dhamira njema ya kusaidia kutatua kero za wananchi ambapo amewasihi wananchi wa Dar es salaam kukaa mkao wa kula kwa kuchangamkia fursa za ajira zitakazotolewa kwenye miradi hiyo.

HUU NI UPENDO WA DHATI WA RAIS MAGUFULI KWA WANANCHI WAKE.

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC MAKALLA AFUNGUA MKUTANO WA "AFRICA E- MOBILITY FORUM"

    March 21, 2023
  • RC Makalla Akabidhi Hundi ya Mikopo ya 10% zaidi ya Bilioni 4.6 Temeke Atoa Maagizo Matano

    March 20, 2023
  • RC Makalla Masoko Mapya Yatakayojengwa Washirikishwe Machinga na Viongozi wa Soko

    March 11, 2023
  • RC Makalla Aeleza Kishindo Cha Rais Dkt Samia Suluhu Miaka 2 DSM

    March 10, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akikagua Maendeleo ya Ujenzi na ukarabati wa Soko la Kariakoo
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa