• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Aapishwa Rasmi leo

Posted on: August 14th, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Abubakar Kunenge amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Ng’wilabuzu Ndwata Ludigija leo tarehe 14 Agosti, 2020 kuwa Mkuu wa Wilaya hiyo kufuatia kuteuliwa kwake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 9 Agosti 2020.

Hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam, Wakuu wa Sehemu na Vitengo na Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Awali Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Ngd. Paulo Mshimo Makanza alimkabidhi kiapo  Mhe. Ng’wilabuzu na kuapa pia alisoma Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi wa Umma aliyopewa na Katibu Msaidizi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Bi. Elizabeth Philipo Komba.

Baada ya hapo aliapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Abubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala ambapo alipata nafasi ya kuongea pia na kuahidi kutekeleza yote yatakayotolewa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Aidha aliahidi kuendelea kusimamia vema miradi yote iliyopo katika Wilaya hiyo kama vile miradi ya Maji,Afya, Umeme na Miundombinu ya Barabara.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo Mhe. Abubakar Kunenge amempongeza Mkuu huyo wa Wilaya ya Ilala kwa Kuteuliwa kwake na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aidha amewataka Wakuu wote wa Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam kusimamia suala zima la ukusanyaji wa Mapato na Matumizi ya Fedha za Serikali.

Ameongeza kuwa ili tuweze kukuza kipato katika Mkoa wetu wa Dar es Salaam ni lazima tuweke mikakati ya kuwavutia wawekezaji aidha kuwepo na mkakati wa kusimamia Mazingira ili kundoa changamoto mbalimbali.

RC Abubakari Kunenge amehimiza uwepo wa Uhusiano mzuri na Chama cha Mapinduzi ambapo ndio tunatekeleza Ilani yake, uwepo wa Amani, utulivu, umoja na mshikamano miongoni mwa wafanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ili kufanikisha malengo husika.

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla, NMB Wakabidhi Ticket kwa Viongozi wa Machinga na Bodaboda

    February 03, 2023
  • RC Makalla Apongeza Mahakama Utatuzi wa Migogoro kwa Usuluhishi

    February 01, 2023
  • RC Makalla Atoa Vipaumbele kwa Wakuu Wapya wa Wilaya za DSM

    January 31, 2023
  • RC Makalla Apiga Marufuku Biashara kwenye Barabara ya Mwendokasi Mbagala

    January 28, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa