• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam apokea Mwenge wa Uhuru leo

Posted on: May 27th, 2017

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MHE. PAUL MAKONDA APOKEA MWENGE WA UHURU.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul C. Makonda amekabidhiwa Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Godfrey Zambi mara baada ya kumaliza shughuli za uzinduzi na ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo Mkoani Lindi.

Mwenge huu wa Uhuru utakuwepo Mkoani Dar es Salaam kwa siku tano kuanzia leo tarehe 27/05/2017 hadi tarehe 31/05/2017 ambapo pamoja na mambo mengine zaidi ya miradi  ipatayo arobaini (40) ya kimaendeleo yenye thamani ya Tshs 244,392,530,334/= itapitiwa, ambapo miradi mikubwa kumi na mbili (12) itazinduliwa, vilevile miradi mitano (5) itawekewa mawe ya msingi, pia miradi miwili (2) itafunguliwa rasmi na miradi kumi na moja (11) itatembelewa katika Wilaya zote za Mkoa wa Dar es Salaam.

Katika hotuba yake kwa wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Makonda amewahamasisha wananchi wake kudumisha Umoja na Mshikamano, Mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria na Maambukizi ya VVU/UKIMWI na kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya Madawa ya kulevya.

Matangazo

  • RATIBA YA KAZI YA MHE. RC MAKALLA KUANZIA 20 - 26 APRIL,2022 April 20, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Utamilifu (Mock) Mkoa wa Darasa la Saba - 2021 July 30, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA BEI ELEKEZI YA MBOLEA March 30, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla Apokea Kero zaJumuiya ya Wafanyabiashara Dar es Salaam.

    May 16, 2022
  • RAS Rugwa Apokea Mwenge wa Uhuru Kutoka Mkoa wa Pwani

    May 10, 2022
  • RC Makalla Mgogoro wa Ardhi Mbondole Chanika Busara Zinahitajika

    May 06, 2022
  • RC Makalla "Hakuna Panya Road Atakaesalimika DSM"

    May 02, 2022
  • Tazama zote

Video

Maelekezo ya RC Makalla juu ya Mapambano dhidi ya majanga ya moto katika masoko DSM.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa