• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

MKUU WA MKOA AKABIDHIWA GARI DOUBLE CABIN WINGLE 5.

Posted on: July 5th, 2017

MKUU WA MKOA MHE. PAUL MAKONDA AKABIDHIWA GARI DOUBLE CABIN WINGLE 5.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda leo asubuhi amekabidhiwa zawadi ya gari aina ya Double Cabin Wingle 5 kutoka kwa kampuni ya watengenezaji wa magari ya Great Wall Motor ya Afrika Kusini ikishirikiana na kampuni ya wauzaji wa magari ya Kifaru Motors ya Tanzania.

Akiongea katika makabidhiano hayo Mkurugenzi wa Great Wall Motor Company ukanda wa kusini mwa Afrika Bwana Jianguo Liu alisema kuwa zawadi hiyo ni ishara ya kampuni hiyo kutambua jitihada mbalimbali za Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na watumishi wake wanazofanya katika kutumikia wananchi na kusaidia kuboresha utendaji kazi.

Katika salamu za shukrani Mhe. Paul Makonda aliushukuru Uongozi mzima wa  Kampuni ya Great Wall Motor ukishirikiana na wauzaji wa magari ya Kifaru Motors kwa kutambua jitihada za Ofisi yake na kuahidi kuendelea kuwatumikia wananchi wa Mkoa wa Dar es Salam kwa moyo na kutimiza falsafa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ya “HAPA KAZI TU”.


Mkuu wa Mkoa ameahidi kuwa gari hilo litatumika ipasavyo katika kuwahudumia wananchi wa Dar es Salaam na kutumiwa na Idara itakayoonekana kuwa ndio mtoa huduma bora katika Mkoa wa Dar es Salaam.

“Naomba kuitoa hii gari kama zawadi kwa Idara inayohudumia vizuri wananchi wangu na ili nitoe kwa Idara hiyo naomba wananchi wenyewe watutumie kwa ujumbe mfupi kupitia namba tutakayoitangaza. Kazi ya wananchi ni kusema tu Idara hii inawahudumia vizuri wanapofika kwenye ofisi zao,kama ni Afya,Elimu,Ardhi,Biashara,na Mahakama”. Aliongeza Mhe. Paul Makonda.

Kwa mfano kama ulienda Idara ya Elimu, Ardhi, Afya, au Biashara ukapewa huduma nzuri katika eneo mojawapo kati ya hayo unachotakiwa kufanya ni kutuma mesesji fupi inayoonyesha Idara hiyo ili wapewe zawadi hiyo ya Gari kama motisha ili waendelee kutoa huduma nzuri.

Utaratibu wa kutuma ujumbe huo wa kuchagua Idara bora katika utendaji utatolewa kupitia namba maalum ambayo itatolewa hapo baadae.


Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla Ataka DSM ya Kijani na Bustani za Watu Kupumzika

    March 25, 2023
  • RC MAKALLA AFUNGUA SEMINA YA USAMBAZAJI NA UHAMASISHAJI WA MATUMIZI YA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 DSM

    March 24, 2023
  • RC MAKALLA AFUNGUA MKUTANO WA "AFRICA E- MOBILITY FORUM"

    March 21, 2023
  • RC Makalla Akabidhi Hundi ya Mikopo ya 10% zaidi ya Bilioni 4.6 Temeke Atoa Maagizo Matano

    March 20, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akikagua Maendeleo ya Ujenzi na ukarabati wa Soko la Kariakoo
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa