• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

KIKAO CHA RCC DAR ES SALAAM CHAPONGEZA JITIHADA ZA RC MAKONDA KATIKA KUWAPATIA WANANCHI MAJIBU YA KERO ZAO

Posted on: March 7th, 2018

Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es salaam RCC kimeguswa na kazi kubwa inayofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda katika kushughulikia kero za wananchi kupitia Sekta mbalimbali ikiwemo Afya,  Elimu, Ulinzi na usalama pamoja na sekta nyinginezo.

Akifungua kikao cha RCC Mkoa kwa niaba ya RC Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema amesema Mkoa wa Dar es salaam umepiga hatua kubwa kwenye Maboresho ya sekta ya Afya kupitia ujenzi wa majengo ya Hospital ikiwemo Wodi ya Mama na Mtoto Hospital ya Amana, Ujenzi wa Hospital ya Mama na Mtoto Chanika,  Ujenzi wa Jengo la Upasuaji kwa Wajawazito Hospital ya Mwananyamala na jengo la wagonjwa wa dharura Hospital ya Temeke zote hizo zikiwa ni jitiada binafsi za RC Makonda.

Aidha Bi. Mjema amesema kwenye sekta ya Elimu Mkoa umeendelea kufanya vizuri kwenye matokeo ya mitihani ya kitaifa na sasa RC Makonda yupo kwenye kampeni ya ujenzi wa ofisi 402 za walimu yote ikiwa ni kuboresha mazingira ya kazi kwa walimu.

Aidha Mjema amesema licha ya kazi kubwa iliyofanywa na Serikali ya awamu ya tano bado zipo changamoto mbalimbali zinazokabili mkoa ikiwemo Ujenzi holela, Biashara holela, Ombaomba, watoto wa mtaani na uchafuzi wa Mazingira ambapo tayari RC Makonda ameshaagiza kila Halmashauri itenge fedha za ununuzi wa mitambo ya usafishaji wa mazingira katika bajeti ya mwaka wa fedha 2017-2018.

Hata hivyo Bi. Mjema amesema Mkoa umeweza kuwatambua watumiaji wa madawa ya kulevya zaidi ya 6,000 ambapo Kati ya hao 2,000 wamepatiwa ushauri jinsi ya kuacha dawa za kulevya na 1,700 wanatumia methadone, na wengine 250 wako sober house hizi zote zikiwa ni jitiada za RC Makonda kuokoa nguvu kazi ya vijana waliokuwa wakipotea kutokana na matumizi ya dawa za kulevye.


Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla, NMB Wakabidhi Ticket kwa Viongozi wa Machinga na Bodaboda

    February 03, 2023
  • RC Makalla Apongeza Mahakama Utatuzi wa Migogoro kwa Usuluhishi

    February 01, 2023
  • RC Makalla Atoa Vipaumbele kwa Wakuu Wapya wa Wilaya za DSM

    January 31, 2023
  • RC Makalla Apiga Marufuku Biashara kwenye Barabara ya Mwendokasi Mbagala

    January 28, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa