• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

DSM Yazindua Mfumo wa Vyeti vya Kuzaliwa vya Watoto

Posted on: November 28th, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Novemba 28, 2023 amezindua mfumo wa usajili wa vyeti vya kuzaliwa vya watoto chini ya umri wa miaka mitano hafla ambayo imefanyika katika ukumbi wa Iddy Nyundo Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam.

RC Chalamila akiongea na Wataalam ambao walialikwa katika tukio hilo amesema Mkoa wa Dar es Salaam ni wa 26 kufikiwa na zoezi hilo tayari mikoa 25 imeshazindua mfumo huo wa usajili vyeti vya watoto

Aidha Mhe RC Chalamila kwa kutambua unyeti wa Mkoa huo amewataka Viongozi katika maeneo mbalimbali wakiwemo wakuu wa Wilaya zote za Mkoa kusimamia zoezi hilo kwa weledi.

Vilevile ameelekeza Wakurugenzi kutoa usafiri katika utekelezaji za zoezi hilo ambapo ametoa shukrani kwa Kampuni ya Tigo, UNICEF na RITA kwa kuwezesha utekelezaji wa zoezi hili muhimu ambalo litaisaidia nchi kuwa na takwimu sahihi za watoto " Ni ukweli usiopingika cheti ni nyaraka muhimu kila mtu anatambua faida ya kuwa cheti cha kuzaliwa,  na matumizi ya cheti hicho katika maisha ya kila siku niwaombe kuitumia fursa hiyo kikamilifu" Alisema RC Chalamila

Mwisho Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sixtus Mapunda amesema zoezi hilo kuzinduliwa Temeke ni sehemu sahihi kwa kuwa watoto ni wengi kuliko mahali pengine ambapo amemhakikishia Mkuu wa Mkoa kusimamia zoezi hilo ipasavyo kwa masilahi mapana ya wanatemeke hivyo amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuona umuhimu wa kuleta mfumo huo wa usajili wa vyeti vya kuzaliwa vya watoto nchi nzima

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa