• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

"DAR ES SALAAM NI KITOVU CHA KIBIASHARA NA UWEKEZAJI" RC MAKALLA

Posted on: August 4th, 2021


 Mkuu wa Mkoa Mhe Amos Makalla akifungua baraza la biashara la Mkoa wa Dar es Salaam mapema leo katika ukumbi wa  Hotel ya Golden Tulip Jijijini Dar es Salaam.


#  Aahidi kutekeleza mambo makuu manne (4) kwa mstakabali wa wafanya biashara wa Mkoa wa Dar es Salaam na Uchumi wa Taifa la Tanzania

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Amos Makalla ameyasema hayo leo wakati anafungua kikao cha baraza la biashara  la Mkoa wa Dar es Salaam.

Kikao cha baraza hilo la biashara la Mkoa  kimefanyika katika ukumbi wa *Hotel ya Golden Tulip* Posta mpya Jijini Dar es Salaam.

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa amesema Dar es Salaam ni kitovu cha kibiashara  na uwekezaji na hiyo hupelekea kuwa ni Mkoa unaochangia asilimia kubwa ya pato la Taifa.

Kwa mantiki hiyo Mkoa una kila sababu ya kuweka mazingira mazuri na wezeshi kwa wafanyabishara na wawekezaji.

"Niwahakikishie wafanyabishara wote wakubwa na wadogo Mkoa umejiimarisha katika Ulinzi na Usalama, kukusanya kodi kwa mujibu wa sheria, kuondoa urasimu na rushwa, kujenga mahusiano mazuri na sekta binafsi wakati wote " Alisema RC MAKALLA

Aidha Mkuu wa Mkoa amefafanua katika kuondoa urasimu na rushwa mkoa umeanzisha "One Stop Centre" ambayo ndani yake kutakuwa na taasisi anuai kama vile TRA, BRELLA OSHA, TBS, TMDA nk, na hilo linaanza rasmi 1/09/ 2021 na itakuwa chini ya ofisi ya Mkuu Mkoa na badae itashuka chini katika ngazi za Wilaya.

Vilevile amesema Dar es Salaam lazima iwe safi na mpangilio mzuri wa wafanyabiashara wadogo mpango wa utekelezaji wa jambo hilo unakuja hivi karibuni.

Aidha kwa kuwa Taifa linapitia wimbi la tatu la ugonjwa wa UVIKO-19  Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt Rashid Mfaume  ameendelea kutoa rai kwa jamii kuendelea kuchukua hatua za kukabiliana na ugonjwa huo kupitia mwongozo wa Wizara ya Afya na amehimiza umuhimu wa chanjo na vituo vya kuotoa chanjo vipo katika Mkoa Jamii itumie vizuri fursa hiyo.


Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla, NMB Wakabidhi Ticket kwa Viongozi wa Machinga na Bodaboda

    February 03, 2023
  • RC Makalla Apongeza Mahakama Utatuzi wa Migogoro kwa Usuluhishi

    February 01, 2023
  • RC Makalla Atoa Vipaumbele kwa Wakuu Wapya wa Wilaya za DSM

    January 31, 2023
  • RC Makalla Apiga Marufuku Biashara kwenye Barabara ya Mwendokasi Mbagala

    January 28, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa