• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

"Dar es Salaam Mmefanya Vizuri Oparesheni ya Anwani za Makazi na Postikodi" Waziri Nape

Posted on: May 18th, 2022

- Ampongeza RC MAKALLA kwa Uongozi mzuri wa utekelezaji wa Oparesheni hiyo

-Ataja Takwimu za Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

-Asisitiza kuwa zoezi hili ni endelevu,  Majina ya Mitaa yaamuliwe na wenye Mitaa Yao na Maeneo yenye Migogoro yatafikiwa baada ya Migogoro hiyo kuisha

-Naibu Waziri OR- TAMISEMI David Silinde Aagiza kabla ya  Mei 30 2022 Oparesheni hii ikamilike

-RC Makalla asema Dsm imekamilisha Oparesheni hii na hakuna Halmashauri iliyochini ya Asilimia 100

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye leo tarehe 18 Mei 2022 amefanya ziara ya Kukagua  utekelezaji wa Oparesheni Kabambe ya Anwani za Makazi na Postikodi katika Mkoa wa Dar es Salaam ambapo amepongeza na kusema  Mkoa wa Dar es Salaam Umefanya Vizuri Sana katika Oparesheni hiyo

Waziri Nape amempongeza pia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla kwa Uongozi wake mzuri ambapo amewaelekeza, amewaagiza, amewashirikisha  na kuwaongoza vema Wakuu wote wa Wilaya katika Mkoa wake hatimae matunda yake  leo yanaonekana

Hata hivyo Waziri Nape ametaja Takwimu zilizofikiwa katika Mkoa wa Dar es Salaam kuwa ni Ilala  Asilimia 113, Kinondoni 103.17, Temeke 102.24, Ubungo 101.97, na Kigamboni 118.55

Vilevile Mhe. Nape amesisitiza kuwa zoezi hili ni endelevu ili kukidhi Mahitaji ya nyumba zinazoendelea kujengwa, majina ya Mitaa yaamuliwe na wenye mitaa husika ili kuepuka matatizo yanayoweza kujitokeza na maeneo yenye migogoro mbalimbali yatafikiwa baada ya migogoro Yao kuisha

Kwa upande wa Naibu Waziri wa OR- TAMISEMI David Silinde ameagiza Oparesheni hii kukamilika kabla ya Mei 30, 2022 na kuwataka kila Mtendaji kutimiza wajibu wake

Naye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla amesema Dar es Salaam imekamilisha Oparesheni hii na hakuna Halmashauri iliyo chini ya Asilimia 100 hivyo maeneo sasa yatafikika na Tanzania itasomeka Duniani

#KESHO YAKO NI ANWANI YA MAKAZI#

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla, NMB Wakabidhi Ticket kwa Viongozi wa Machinga na Bodaboda

    February 03, 2023
  • RC Makalla Apongeza Mahakama Utatuzi wa Migogoro kwa Usuluhishi

    February 01, 2023
  • RC Makalla Atoa Vipaumbele kwa Wakuu Wapya wa Wilaya za DSM

    January 31, 2023
  • RC Makalla Apiga Marufuku Biashara kwenye Barabara ya Mwendokasi Mbagala

    January 28, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa