English
Kiswahili
Wasiliana nasi
|
Maswali ya Mara kwa Mara
|
Barua pepe za Watumishi
|
Malalamiko
|
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Mkoa wa Dar es Salaam
Toggle navigation
Mwanzo
Kuhusu Sisi
Historia
Dhamira na Dira
Muundo wa Kiutawala
Utawala
Seksheni
Utumishi na Utawala
Mipango na Uratibu
Uchumi na Uzalishaji
Miundombinu
Management,Monitoring and Inspection
Afya na Ustawi wa Jamii
Elimu
Industry, Trade and Investiment
Vitengo
Fedha na Uhasibu
Mkaguzi wa Ndani
Manunuzi na Ugavi
TEHAMA
Government Communication Unit
Wilaya
Ilala
Kinondoni
Temeke
Ubungo
Kigamboni
Halmashauri
Jiji
Kinondoni MC
Temeke MC
Ubungo MC
Kigamboni MC
Fursa za Uwekezaji
Muongozo wa Uwekezaji
Huduma Zetu
Maji
Afya
Elimu
Machapisho
Miongozo
Fomu Mbalimbali
Taarifa Mbalimbali
Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
Kituo cha Habari
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Bofya hapa
Maktaba ya Picha
Maktaba ya Video
Hotuba
Habari
Matukio
Fedha na Uhasibu
KITENGO CHA UHASIBU
Majukumu ya kitengo cha Fedha na Uhasibu yamegawanyika kwenye nyanja zifuatazo:
Usimamizi wa Mishahara:
Kuandaa na kuidhinisha malipo ya Mishahara
kuandaa na kutunza orodha ya watumishi wanaolipwa mishahara
Kuwezesha makato mbalimbali kutoka mishahara ya watumishi na kuyawasilisha mamlaka husika
Kuwezesha Malipo:
Kuandaa na kuingiza malipo kwenye mtandao wa malipo
Kuchukua hundi za malipo kutoka Hazina ndogo
Kupeleka fedha tasilimu na hundi benki
Kutayarisha taarifa za mwezi za malipo
Kuwalipa watumishi fedha taslimu au hundi na kuwalipa watoa huduma kwa hundi
Kutunza daftari la hesabu
Hesabu za Mwisho wa Mwaka:
Kutayarisha Makadirio ya bajeti na kudhibiti matumizi
Kuandaa taarifa ya matumizi ya robo mwaka, nusu mwaka na mwaka mzima kwa ajili ya kuiwasilisha kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali
Kujibu hoja zote na maoni ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Kuandaa taarifa ya hesabu za mwisho wa mwaka na kuziwasilisha kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
Ukusanyaji Mapato:
Kukusanya Mapato
Kusimamia mapato kwa mujibu wa sheria na miongozo
Ukaguzi wa Awali:
Kuhakiki nyaraka za malipo kama zimezingatia taratibu za malipo ikiwa ni pamoja na kuidhinishwa
Kuhakikisha kama sheria, kanuni na miongozo na nyaraka za fedha kama zimezingatiwa
Kuhakikisha malipo yatakayofanyika hayavuki bajeti ya kasma husika
Matangazo
MWENENDO WA BEI YA 02-06 FEBRUARI 2026 DSM
February 10, 2026
KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA
March 29, 2023
MWENENDO WA BEI WIKI YA 1-5 DESEMBA 2025
December 01, 2025
MWENENDO WA BEI YA WIKI YA 26-30 JANUARI 2026 DSM
February 09, 2026
Tazama zote
Habari Mpya
RC Chalamila Achukizwa na Kasi ndogo ya Utekelezaji wa Miradi ya BRT Kinondoni
February 11, 2026
Uzinduzi wa Soko Jipya la Kariakoo
February 08, 2026
RC Chalamila Ataka Walimu Kutafsiri Vema Maono ya Rais Samia
February 06, 2026
Rais Samia Kuzindua Soko la Kariakoo Februari 08,2026
February 06, 2026
Tazama zote