• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Mifugo

SEKTA YA MIFUGO.

Sekta ya Mifugo katika Mkoa wa Dar es Salaam ni muhimu katika uchumi wa watu binafsi, Kaya na Taifa. Ufugaji upo wa mifugo ya aina mbalimbali wakiwemo wanyama wakubwa na wadogo, kwa ajili ya chakula, biashara, wanyama kazi na wanyama rafiki (pets).


HUDUMA ZA MIFUGO.

Miongoni mwa huduma za Mifugo zinazotolewaa na Maafisa Ugani ni pamoja na kuhasi, uhamilishaji,kukata pembe,kukata kwato, kukata meno(Ngurewe), kukata midomo (Kuku), kutoa huduma ya chanjo, kutoa tiba na kinga dhidi ya magonjwa mbalimbali ya Mifugo, ukaguzi wa Mifugo na Mazao yake, kutoa vibali mbalimbali kwa mujibu wa Sheria( Vibali vya kusafirisha mifugo na mazao yake na vibali vya kupatiwa chanjo ya Kichaa cha Mbwa kwa Binadamu.) na kutoa ushauri wa kitaalam kwa Wafugaji.


AINA NA IDADI YA MIFUGO KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM. 

 

AINA
KISASA
ASILI
JUMLA
Ng’ombe
37,993
10,451
48,444
Mbuzi
1,185
21,756
22,941
Kondoo
-
5,698
5,698
Nguruwe
43,022
-
43,022
Kuku
6,135,371
708,263
6,843,634

Mifugo mingine iliyopo katika Mkoa wa Dar es Salaam ni bata, kanga, kwale, sungura, simbilisi, mbwa, punda, farasi, ngamia na paka.


MIUNDOMBINU ILIYOPO NA INAYOFANYA KAZI NI:

Maduka/ Maeneo ambayo pembejeo za mifugo (vyakula vya mifugo, madawa, chanjo) pamoja na vituo vya  huduma kwa mifugo 

Viwanda vya usindikaji wa mazao ya Mifugo ambavyo ni viwanda vya Maziwa, viwanda vya ngozi,  viwanda vya nyama na viwanda vya vyakula vya Mifugo. 

Miundombinu mingine ni Mnada  wa Upili wa Mifugo (Secondary Livestock Market), majosho, malambo,  mabirika,  vibanio,  mabanda ya ngozi,  machinjio,  machinjio (slabs)  (kwa ajili ya ng’ombe, nguruwe, kuku na ndege wengine).

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla, NMB Wakabidhi Ticket kwa Viongozi wa Machinga na Bodaboda

    February 03, 2023
  • RC Makalla Apongeza Mahakama Utatuzi wa Migogoro kwa Usuluhishi

    February 01, 2023
  • RC Makalla Atoa Vipaumbele kwa Wakuu Wapya wa Wilaya za DSM

    January 31, 2023
  • RC Makalla Apiga Marufuku Biashara kwenye Barabara ya Mwendokasi Mbagala

    January 28, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa