• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru katika Mkoa wa Dar es Salaam 07/07/2018

06 July 2018

TAARIFA YA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. PAUL MAKONDA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

 

Ndugu Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam

Mwenge wa Uhuru utawasili katika Mkoa wa Dar es Salaam tarehe 07/07/2018 ukitokea Mkoa wa Kusini Pemba. Aidha, Mwenge wa Uhuru utawasili Uwanja wa Ndege Terminal 1 saa 12:00 asubuhi. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam atawaongoza viongozi na wakazi wa Dar es Salaam kuulaki Mwenge wa Uhuru.

Ndugu Wananchi 

Mwenge wa Uhuru utakabidhiwa kwa uongozi wa Wilaya ya Ilala saa 3:30 asubuhi na kuanza mbio zake katika Mkoa wetu kwa ratiba ifuatayo:-

Tarehe 07/07/2018 utakimbizwa katika Wilaya ya Ilala.

Tarehe 08/07/2018 utakimbizwa katika Wilaya ya Kigamboni.

Tarehe 09/072018 utakimbizwa katika Wilaya ya Kinondoni.

Tarehe 10/07/2018 utakimbizwa katika Wilaya ya Ubungo

Tarehe 11/07/2018 utakimbizwa katika Wilaya ya Temeke

Ndugu Wananchi 

Kama ilivyo desturi yetu wakazi wote wa Mkoa wa Dar es Salaam mnaombwa kujitokeza kwa wingi katika maeneo yote ambayo Mwenge utapita na kukesha. Ujumbe wa Mwenge kwa mwaka huu ni:- ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA, WEKEZA SASA, KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU

 Ndugu Wananchi 

Mwenge wa Uhuru utamaliza mbio zake hapa Mkoani tarehe 11/07/2018 na utakabidhiwa kwa Uongozi wa Mkoa wa Pwani tarehe 12/07/2018 saa 1:30 asubuhi mpakani mwa Dar es Salaam na Pwani katika eneo la Shule ya Msingi Juhudi iliyopo Kipala Mwandege .

WITO: Natoa wito kwa wakazi wote wa Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi katika kuupokea Mwenge wetu wa Uhuru. Aidha nawaomba waajiri na wakuu wa Taasisi zote za Serikali kushiriki kikamilifu katika maeneo yao ya kazi katika kuulaki Mwenge wetu wa Uhuru.

MWENGE OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

 

ASANTENI KWA KUNISIKILIZA

 

PAUL  MAKONDA

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM

06/07/2018

 

 

Matangazo

  • RATIBA YA KAZI YA MHE. RC MAKALLA KUANZIA 20 - 26 APRIL,2022 April 20, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Utamilifu (Mock) Mkoa wa Darasa la Saba - 2021 July 30, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA BEI ELEKEZI YA MBOLEA March 30, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla Operesheni Panya Road Imekuwa na Mafanikio

    May 27, 2022
  • RC Makalla Asimamisha Shughuli za Uchimbaji Madini Boko - DSM

    May 26, 2022
  • Dar es Salaam Yaadhimisha Siku ya Wauguzi Duniani

    May 24, 2022
  • DC Ilala Ataka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kuchukua Hatua kwa Wanaokaidi Maelekezo Wanayoyatoa

    May 19, 2022
  • Tazama zote

Video

Maelekezo ya RC Makalla juu ya Mapambano dhidi ya majanga ya moto katika masoko DSM.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa