Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda anawatangazia Wananchi wote wa Mkoa huo kujitokeza kwa wingi kwenye Kampeni ya Upimaji wa Afya Bure kuanzia siku ya Jumatano ya Septembe 06 -10 kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Paul Makonda akipokea Pikipiki za kisasa 10 kwa ajili ya Askari wa Usalama Barabarani zenye thamani ya Shilingi Milioni 400 kutoka kampuni ya utengenezaji wa Pikipiki ya TONGBA ya China.
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa