Katika sehemu hii utaweza kutuma mafaili mbalimbali pamoja na kutuma ujumbe kwa watu tofauti
Imetumwa 07/26/2005 09:23PM
TAHADHARI...Tafadhali hakikisha mafaili utakayotuma umeyaangalia na kuhakikisha kuwa hayana virusi, tumia anti-virus iliyopendekezwa! Kama hujui namna ya kufanya hivyo tafadhali omba msaada kwa anayejua au kwa ICT Specialist Mkoani
