• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Ilala MC
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Vyombo Vya Habari Vyaunga Mkono Kampeni ya Usafi Jiji Dar es Salaam

Posted on: July 10th, 2018

Vyombo mbalimbali vya Habari nchini vimeguswa na kampeni ya usafi wa mazingira iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda na kuahidi kushirikiana kutoa elimu ya Usafi wa Mazingira kwa wananchi wa Dar es salaam.

Miongoni Mwa vyombo hivyo ni pamoja na ITV, TBC, Azam TV, Clouds TV, TV E, Star TV, Channel Ten na Radio Uhuru ambao wote kwa pamoja wamemuhakikishia RC Makonda kuwa watatumia media zao kujenga mtazamo chanya kwa wananchi juu ya umuhimu wa usafi wa mazingira.

Akizungumza kwenye kikao cha pamoja na watendaji wa Vyombo vya habari, RC Makonda amesema serikali imekuwa ikitumia fedha nyingi kutibu magonjwa yatokanayo na uchafu ikiwemo kipindupindu na malaria ndio maana ameona ni vyema kuanza kutoa elimu kwa wananchi ili kujua athari za uchafu kiafya badala kusubiri magonjwa yatokee ndipo wahangaike kutibu wagonjwa.

Aidha RC Makonda amesema anajisikia ufahari kuona vyombo vya habari vinashirikiana nae kwenye kampeni ya usafi wa Dar es salaam na kuwahimiza wananchi kuhakikisha wanaweka mazingira safi ilikuepusha kushurutishwa na vijana wa JKT na Mgambo watakaokuwa wakiwakamata na kuwatoza faini wachafuzi wa mazingira.

Kwa upande wao watendaji wa vyombo mbalimbali vya habari akiwemo Mkurugenzi mtendaji wa ITV Bi. Joyce Mhavile amesema watatumia vyombo vyao vya habari kutengeneza Vipindi na Makala za kuhimiza jamii juu ya umuhimu wa utunzaji wa mazingira.

Itakumbukwa kuwa RC Makonda ametangaza kuwatumia vijana waliohitimu Mafunzo ya JKT na Mgambo kufanya kazi ya kukamata na kuwatoza faini wachafuzi wa mazingira hivyo amona pia ni vyema Elimu ya umuhimu wa kutunza mazingira ikaenda sambamba.

Matangazo

  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Serikali - AWAMU YA PILI January 08, 2021
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge: Stendi Mpya ya Mabasi ya Mbezi Louis Kuanza Rasmi Novemba 30, Majaribio Novemba 25

    November 09, 2020
  • RC Kunenge Afanya Ziara ya Kushtukiza Usiku wa Manane,Atoa Maagizo Mazito kwa Wakandarasi "Wazembe'

    October 17, 2020
  • Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Akutana na Walimu,Awahakikishia kuwa Serikali Itaendelea Kulipa Malimbikizo Yote Wanayodai

    September 22, 2020
  • RC Kunenge Atembelea Miradi na Kutaka Ikamilike kwaWakati

    September 17, 2020
  • Tazama zote

Video

Kampeni ya Tahadhari Dhidi ya Mafuriko kwa Wanafunzi jijini Dar es Salaam
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa