Kukua kwa teknolojia katika Mkoa wa Dar es Salaam , kuna mchango muhimu katika kuhakikisha kuwa wananchi wanapata taarifa kuhusu shughuli mbalimbali za utawala, sera na mipango kwa wakati mwafaka, hivyo kuwashirikisha wananchi moja kwa moja katika maamuzi yanayoathiri maisha yao . |
| TEKNOHAMA inatumika kila mahali na katika utoaji wa huduma za aina yeyote ile ikiwemo Elimu ( Distant Learning, eLibrary), matibabu (Telemedine), biashara (eCommerce, eBanking, nk), uongozi/utawala (eGovernace) n.k. |