Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere upo upande wa magharibi wa Jiji la Dar es Salaam katika Kata ya Ukonga. Uwanja huu hutoa huduma zote za usafiri na usafirishaji wa abiria na Mizigo kitaifa na kimataifa |
Makao makuu ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) na Reli ya Tanzania -Zambia (TAZARA) yapo jiji Dar es Salaam . mashirika haya hutoa huduma ya usafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mikoani na nchi jirani za Zambia , DRC, Rwanda , Burundi na Uganda . |