| Halmashauri za manispaa za mkoa wa Dar es Salaam pamoja na Halmashauri ya Jiji hutoa huduma za Kiuchumi zikiwepo kilimo, mifugo, misitu, Uvuvi, miuondombinu, huduma za jamii kama afya, maji, elimu, maeneo ya burudani, mazishi, mipango miji, kutunza mazingira, ustawi wa jamii, ushirika na mambo mengine yanayoihusu jamii na Taifa kwa ujumla |