JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
     
MIRADI NA PROGRAMU
 
Miradi na Programu [ Nyumbani ] au
 
Utangulizi
 

Katika mwaka wa fedha 2008/09 Mkoa wa Dar es Salaam uliidhinishiwa na Bunge kutumia jumla ya Sh. 74,223,492,000. kati ya fedha hizo Sh. 60,185,390,000 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na Sh. 14,038,082,000 kwa ajili ya kutekeleza Mpango wa maendeleo.

 
 
 
Miradi iliyotekelezwa mwaka 2008/2009
 

katika mwaka wa fedha 2008/09 Mkoa umeidhinnishiwa jumla ya Sh. 14,038,082,000 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Kati ya fedha hizo Sh. 13,087,854,000 ni fedha za nje na sh. 950,228,000 ni fedha za ndani. Fedha hizo zitatumika kutekeleza miradi 10 inayosimamiwa na halmashauri za Manispaa na Jiji, na miradi 6 inayosimamiwa na sekretarieti ya mkoa. Miradi hiyo ni ifuatayo:

 
 
Sekretarieti ya Mkoa
 

Sekretarieti ya mkoa inasimamia utekelezaji wa miradi ifutayo:
•  Ujenzi wa Ofisi 3 za Maafisa tarafa
•  Miradi ya kujitegemea
•  Ujenzi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa
•  Uratibu wa Miradi ya Kilimo ya Wilaya
•  Ufuatiliaji na Tadhimini ya Miradi
•  Mpango wa kuzuia Maambukizi ya UKIMWI

 
 
 
 
 
 
 
Halmashauri za Manispaa na Jiji
 
 

Halmashauri za Manispaa na Jiji zinatekeleza miradi 10 ifuatayo:

 
 
•  Mradi wa maji Vijijini

•  Mradi wa usafiri katika serikali za mitaa (Local Government Transport Project)

•  Mpango wa maendeleo ya Elimu ya Msingi (PEDEP)

•  Mpango wa maendeleo wa kilimo (DADP na ASDP)

•  Mpango wa maboresho Sekta ya afya (HSBF)

•  Miradi mbalimbali ya Ruzuku ya Serikali za Mitaa (LGCDG)

•  Mpango wa kujengea uwezo watendaji na Viongozi (CBG)

•  Hifadhi ya mazingira na Maendeleo Mijini(UDEM)

•  Mpango wa Uhai, Ulinzi na Maendeleo ya mama na motto (CSPD)

•  Mpango wa Mapambano ya UKIMWI
 
 
 
 
     
     
 
Miradi na Programu [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, TEL: 022 - 2203156/2203158, FAX: 022-2203213