JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
     
MIPANGO
 
Mipango [ Nyumbani ] au
 
 
Utangulizi
 
 
Idara ya Mipango ina majukumu ya Kuratibu, kufuatilia na kutoa huduma katika nyanja mbalimbali, yafuatayo ni majukumu ya Idara hii:
 
 
Majukumu ya Idara ya Mipango
 
 

•  Kuratibu masuala yote ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

•  Kuratibu Mipango na Bajeti ikiwemo Mpango Mkakati na Mipango kazi.

•  Kuratibu maandalizi na utekelezaji wa mkataba wa huduma kwa wateja.

•  Sekretarieti katika vikao vya Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC).

•  Kuunganisha, kuratibu na kufuatilia Mipango na Bajeti za Serikali za mitaa.

•  Kutoa huduma za kitaalam katika utekelezaji wa Mfumo wa habari na mawasiliano.

•  Kuratibu miradi ya Wahisani mkoani

•  Kumshauri Katibu Tawala wa Mkoa juu ya masuala ya mashirika ya Umma, mashirika yasiyo ya kiserikali na sekta binafsi
•  Kuratibu shughuli za utafiti mkoani

•  Kuratibu zoezi la Sensa.

•  Kuziwezesha mamlaka za Serikali za mitaa juu ya utekelezaji wa sheria ya mazingira Na. 2 ya 2004.

•  Kumshauri Katibu Tawala wa Mkoa na Halmashauri juu ya utekelezaji wa sheria za kazi.

•  Kuratibu masuala ya Maafa katika mkoa.

 
 
 
 
 
   
   
         
 
Mipango [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, TEL: 022 - 2203156/2203158, FAX: 022-2203158