Mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dr. Mohammed Gharib Bilal, Aidha viongozi mbalimbali Waheshimiwa Mawaziri, Waheshimiwa Wabunge, Wakuu wa Wilaya, Wastahiki Meya wa Manispaa za Jiji Dar es Salaam pamoja na Wakurugenzi wa Manispaa zote za Jiji, pia wageni mbalimbali walikuwa miongoni washiriki katika maadhimisho hayo.
|