| |
A: SEKRETARIETI YA MKOA.
- Kuboresha mazingira ya kufanyia kazi kwa kununua vifaa vinayotosheleza watumishi.
- kutoa mafunzo ya kuwajengea uwezo na kuwaendeleza watumishi.
- kufanya ufuatiliaji na tathmini ya mipango na utekelezaji wa bajeti.
- Kuzijengea uwezo Halmashauri za Manispaa na Jiji kwa kuwapa ushauri katika taaluma husika na kutafsiri sera mbalimbali.
- Kuimarisha mfumo wa habari na taarifa.
- Kuratibu vikao vyote vya kisheria.
- Kuboresha mfumo wa ukusanyaji na uchambuzi wa takwimu mbalimbali.
- kuimarisha uratibu wa masuala ya maafa, UKIMWI, Jinsia, Mazingira na mengineyo ambayo ni mtambuka.
- Kuratibu maandalizi ya bajeti.
- Kuboresha uratibu wa mashirika yasiyo ya kiserikali.
- Kuimarisha uratibu wa shughuli za ukaguzi wa viwanda na hesabu za fedha katika ngazi zote.
- Kuratibu shughuli za biashara na uchumi kupitia Baraza la Biashara la Mkoa.
- Kuratibu sherehe za Kitaifa na wageni mbalimbali wa Kitaifa na Kimataifa.
- Kujenga Ofisi na kukarabati zilizopo ili kuboresha mazingira mazuri ya kazi.
- Kuimarisha mfumo wa manunuzi na malipo mbalimbali.
- Kutoa ushauri unaohusiana na masuala ya ardhi, mipangomiji na miundombinu mbalimbali.
- Kuwezesha ushiriki wa Mkoa katika michezo mbalimbali.
- Kuimarisha usimamizi wa shughuli za Serikali za Mitaa.
B: HALMASHAURI YA JIJI.
- Uendelezaji wa Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo.
- Kuimarisha huduma za usafi kwa kuendeleza eneo la kutupa taka ngumu kitaalam (sanitary landfill).
- Ujenzi wa soko la jumla na nafaka na sehemu ya Maegesho ya malori eneo la Mbezi Louis.
- Ujenzi wa maeneo ya biashara ndogo ndogo na mtaa wa viwanda.
- Kuimarisha huduma za zimamoto na uokoaji Jijini.
- Uwekezaji vitega uchumi kwenye viwanja vya Halmashauri ya Jiji.
- Kuimarisha huduma za Afya kinga na Tiba.
- Kuboresha maeneo yasiyopimwa kwa kujenga miundombinu.
- Kuimarisha ulinzi na usalama kwa kuendeleza ulinzi shirikishi katika Jamii.
- Kununua viwanja vya Halmashauri ya Jiji kwa ajili ya matumizi ya baadae.
- Kushirikiana na CCBRT kuendesha Hospitali teule ya Mkoa.
C: HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA.
1. Elimu ya Msingi.
Ujenzi wa vyumba vya madarasa.
Ujenzi wa matundu ya vyoo.
Ujenzi wa nyumba za walimu.
Ununuzi wa madawati na vifaa vya kufundishia na kujifunzia.
2. Elimu ya Sekondari.
Ujenzi wa vyumba vya madarasa, vyoo, maabara, Hosteli na nyumba za walimu.
Utengenezaji wa samani (viti, meza, madawati, kabati n.k.)
Vifaa vya kufundishia, vitabu n.k.
3. Afya.
Ukarabati wa vituo vilivyopo vya kutolea huduma (Hospitali, vituo vya Afya na Zahanati).
Ununuzi wa vitendea kazi na vifaa vya Hospitali yakiwemo magari ya kubeba wagonjwa.
Ujenzi wa vituo vipya vya kutolea huduma (Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati).
Upandishaji hadhi baadhi ya vituo vya Afya kuwa Hospitali na Zahanati kuwa vituo vya Afya.
Ajira ya watumishi wa Afya pamoja na mafunzo ya watumishi.
Ujenzi wa nyumba za watumishi wa Hospitali, vituo vya Afya na Zahanati.
4. Usafishaji.
Ununuzi wa magari, matrekta na matela ya kuzolea taka pamoja na vifaa vingine muhimu kama vile mashine za kufagia.
Kujenga vituo vya kati (Transfer Station) vya kukusanyia taka kabla ya kuzisafirisha kwenda Dampo la Pugu Kinyamwezi.
5. Barabara na Mifereji.
Ukarabati na ujenzi wa barabara mbalimbali kwa kiwango cha lami na changarawe.
Ukarabati na ujenzi wa mifereji ya maji ya mvua.
Ukarabati na ujenzi wa madaraja.
Ukarabati na uwekaji taa barabarani.
6. Maji.
Kufanya utafiti wa vyanzo vya maji na ujenzi wa visima virefu na vifupi maeneo ya pembezoni.
Kuhamasisha vikundi vya watumia maji, kamati za maji na mifuko ya maji.
7. Biashara.
Ukarabati na ujenzi wa masoko.
Ujenzi wa vituo vya daladala na mabasi.
8. Ardhi na Mazingira.
Uboresha makazi holela kwa kuweka miundombinu ya barabara, mifereji na maji.
Kupima viwanja na kulipia fidia ardhi itakayo twaliwa.
Kuimarisha hifadhi ya mazingira kwa kupanda miti, hifadhi ya fukwe na udhibiti uvuvi haramu.
9. Kilimo, Mifugo na Ushirika.
Kuendelea kuimarisha kilimo cha mjini. (Urban Agriculture) kwa kuendeleza huduma za ugavi.
Kuwapatia huduma wakulima na wafugaji kama vile pembejeo, elimu ya hifadhi ya mazao na usindikaji.
Kuimarisha vikundi vya ushirika na vya kiuchumi.
10. Maendeleo ya Jamii.
Maendeleo ya vijana na michezo (miradi ya vijana na kuimarisha ushiriki katika michezo).
Masuala mtambuka ya UKIMWI, wanawake, walemavu, watoto, wazee n.k.
D: HALMASHAURI ZA MANISPAA YA KINONDONI.

E: HALMASHAURI ZA MANISPAA YA TEMEKE.

kuboresha makazi holela kwa kuweka miundombinu ya barabara, mifereji na maji.
Kupima viwanja na kulipia fidia ardhi itakayo twaliwa.
Kuimarisha hifadhi ya mazingira kwa kupanda miti, hifadhi ya fukwe na udhibiti uvuvi haramu.
9. Kilimo, Mifugo na Ushirika.
Kuendelea kuimarisha kilimo cha mjini. (Urban Agriculture) kwa kuendeleza huduma za ugavi.
Kuwapatia huduma wakulima na wafugaji kama vile pembejeo, elimu ya hifadhi ya mazao na usindikaji.
Kuimarisha vikundi vya ushirika na vya kiuchumi.
10. Maendeleo ya Jamii.
Programu za Uhai, Ulinzi na Maendeleo ya mama na mtoto (UNICEF).
Maendeleo ya vijana na michezo (miradi ya vijana na kuimarisha ushiriki katika michezo).
Masuala mtambuka ya UKIMWI, wanawake, walemavu, watoto, wazee n.k |
| |
Muhtasari wa bajeti ya Mkoa.
Fedha Kutoka Serikali Kuu.
Matumizi ya kawaida |
Matumizi ya maendeleo.
|
Mishahara - 84,212,090,683=
|
Fedha za Ndani - 3,712,627,000=
|
Matumizi mengineyo - 23,366,107,450=
|
Fedha za Nje - 16,145,578,864 =
|
Jumla Ndogo - 107,578,198,133 =
|
Jumla Ndogo - 19,858,205,864 =
|
Jumla Serikali Kuu - 127,434,892,135/= |
Bajeti ya Serikali za Mitaa.
Bajeti hii imezingatia kuendeleza juhudi za kuboresha miundombinu ya barabara, mifereji ya maji ya mvua, usafi wa Jiji, Elimu na hifadhi ya mazingira. Mchanganuo wa bajeti ni kama ifuatavyo:-
Muhtasari wa Bajeti.
Mamlaka |
Mishahara |
OC |
Maendeleo |
Jumla |
Jiji |
1,089,696,000 |
1,730,700,000 |
9,503,000 |
2,820,396,000 |
Kinondoni |
33,590,350,844 |
7,345,784,950 |
7,413,502,600 |
48,349,638,394 |
Ilala |
26,589,063,928 |
5,417,567,500 |
4,771,423,000 |
36,778,054,428 |
Temeke |
21,940,782,865 |
6,518,486,000 |
6,275,423,000 |
34,734,691,865 |
Jumla |
83,209,893,637 |
21,012,538,450 |
18,469,851,600 |
122,692,283,687 |
Mchanganuo wa miradi ya maendeleo.
Program/Mradi |
Jiji |
Ilala |
Kinondoni |
Temeke |
Jumla |
Local Govt. Council Devt Grant (Foreign) |
- |
1,494,636,000 |
2,536,624,000 |
1,809,911,000 |
5,841,171,000 |
Local Govt Devt Grant (Local) |
- |
151,875,000 |
259,477,000 |
184,434,000 |
595,786,000 |
Water Supply (RWSSP)- (Foreing) |
- |
401,845,000 |
408,975,000 |
404,465,000 |
1,215,000,000 |
DADP`s- (Local) |
- |
53,442,000 |
70,928,000 |
72,263,000 |
196,633,000 |
Urban Devt Environmental Management (UDEM). |
- |
374,725,000 |
600,996,000 |
521,440,000 |
1,497,161,000 |
TACAIDS |
9,503,000 |
121,526,000 |
196,265,000 |
142,722,000 |
470,016,000 |
Global Fund |
- |
120,000,000 |
120,000,000 |
120,000,000 |
360,000,000 |
Health Sector Basket Fund |
- |
1,100,053,000 |
1,838,468,000 |
1,310,558,000 |
4,249,079,000 |
PEDEP |
- |
214,116,000 |
234,126,000 |
223,525,000 |
671,767,000 |
Road Network
(LGTP) |
- |
131,076,000 |
150,141,600 |
116,181,000 |
397,398,600 |
UNICEF |
- |
- |
- |
630,695,000 |
630,695,000 |
Jumla |
9,503,000 |
4,771,423,000 |
7,413,502,600 |
6,275,423,000 |
18,469,851,600 |
|