|
||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||
| Maeneo yaliyopimwa Viwanja ndani ya Mkoa Jumla ya viwanja 37,000 vimepimwa kwenye maeneo ya Kisota, Tuangoma, Geza ulole, Mwongozo, Mtoni Kijichi, Kibada kwa Manispaa ya Temeke, kwa Manispaa ya ilala ni Buguruni, Mwanagati na Kinyerezi. Kwa Manispaa ya Kinondoni ni maeneo ya Mivumoni, Mbweni JKT, Mbweni mpiji, na Bunju |
|||||
| Mpango wa Upimaji Viwanja kwenye Maeneo Mapya Viwanja vimepangwa kupimwa katika Halmashauri za Manispaa zote za Jiji la Dar Es Salaam
|
|||||
|
||||||||||||||||||||||||
| Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, TEL: 022 - 2203156/2203158, FAX: 022-2203158 | ||