JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA    
 
 
 
 .: Muundo wa Kiutawala
 .: Yanayotuhusu na Anuani
 .: Mission & Vision
 .: Miradi & Programu
 .: Fedha & Bajeti - Taarifa
 .: Nyaraka Mbalimbali
 .: Mipango
 .: Kilimo na Mifugo
 .: Maliasili na Mazingira
 .: Elimu
 .: Afya
 .: Maji
 .: Ushirika
 .: Biashara
 .: Barabara na Majengo
 .: Ardhi, Upimaji & Ramani
 .: Jamii, Jinsia & Watoto
 .: Taarifa za Mkaguzi
 .: Kazi
 .: Usafiri & Mawasiliano
 .: Serikali za Mitaa
 .: FAQs & Forums
 .: Daftari la wageni &Maoni
.: TEHAMA (ICT)
.: Tovuti nyingine muhimu
     
 

Karibu katika Tovuti ya Mkoa wa Dar es Salaam, Jiji kubwa kuliko yote Tanzania ambalo ni Kitovu cha Shughuli za Serikali za Kiutawala, Viwanda, Biashara,Utalii na Shughuli za kibenki, pia ni Makao Makuu ya Balozi za nchi na Wakala mbalimbali wa Kimataifa.
Mkoa unapakana na Mkoa wa Pwani kwa pande za Kaskazini, Magharibi na Kusini Magharibi, Bahari ya Hindi ndiyo mpaka wa Mkoa kwa upande wa Mashariki na Kusini Mashariki.

 

     
   
Dar  City Centre
   
 

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanasisitizwa kushiriki kikamilifu katika zoezi la utoaji wa chanjo ya Matende , Mabusha, dawa za Minyoo, matone ya Vitamini A, na Surua    - Rubella.Zoezi hili litafanyika katika Mikoa yote ya Tanzania kuanzia    Oktoba 18 hadi 24, 2014.

 
     
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meck Sadiki akitoa ufafanuzi kuhusu   zoezi la utoaji wa chanjo Rubella

 
     
 

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inaendesha zoezi hilo kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) na    Shirika la kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) kwa lengo la kudhibiti magonjwa yayoweza kuzuilika ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa kuboresha afya za wananchi.   
Bonyeza hapa kusoma zaidi juu ya habari hii ...

 
 
     
 
 
..........................................................
 
 
 
....................... ...................................
 
 
 
..........................................................
 
HABARI NYINGINE  
     
DSM Sec.School Calender 2014  
  .....................................................a ......  
Zabuni na Minada  
  ...........................................................  
V V U / UKIMWI  
  ........................................................  
Taarifa mbalimbali za Sensa ya Watu na Makazi-Tanzania  
  .........................................................  
  ENEO BINAFSI      
MaadhimishoJuma la Elimu-Dar es Salaam
 

Juma la Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi huadhimishwa kila mwaka kwa lengo kuu la kuhamasisha jamii ili itambue na kutumia fursa za Elimu zilizopo kupitia mfumo usio rasmi.

 
  ....................................................................................  
   
 
  Matukio Yajayo :  
 
       
Siku ya UKIMWI Duniani
Tarehe 01/12/2014
     
Siku ya Walemavu Duniani
Tarehe 03/12/2014
     
Siku ya Uhuru
Tarehe 09/12/2014
 
 
 
Web Mail
Maoni
Online Training / class
Mafaili na Ujumbe
Mijadala
 
 
     
Hotuba za Mkuu wa Mkoa  
Hotuba za Katibu Tawala (M)  
   

 
 
 
 
   
       
 

 

    ........................................................  
  Fursa za uwekezaji & Vivutio  
    ......................................................  
  Mashirika, Taasisi & NGO's  
    ......................................................  
  Mahoteli & Nyumba za kulala wageni  
    ......................................................  
  Hospitali, Vituo vya afya na zahanati  
    ........................................................  
  Huduma za Jamii  
    .......................................................  
       
  Utalii  
 
 
   
 
Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, P.O.Box 5429, Tel: 022 - 2203156/2203158, FAX: 022-2203213